Kisiwa Vancouver
Mandhari
49°30′N 125°30′W / 49.500°N 125.500°W[1]
Kisiwa Vancouver (kwa Kiingereza: Vancouver Island) kiko katika bahari ya Pasifiki, karibu sana na pwani ya Kanada. Ni sehemu ya British Columbia. Urefu unafikia km 460 na upana km 100,[2]. Eneo lake lote ni km2 32134.
Kilele cha juu ni mlima Golden Hinde wenye kimo cha m 2,195 juu ya usawa wa bahari[3].
Mwaka 2016 wakazi walikuwa 775,347.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "The Atlas of Canada – Sea Islands". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-28. Iliwekwa mnamo 2010-09-16.
- ↑ "Regional Geography - Vancouver Island, BC - Destination BC - Official Site". Hellobc.com. Iliwekwa mnamo 8 Januari 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "BC Parks – Strathcona Provincial Park, Central Vancouver Island, British Columbia". Iliwekwa mnamo 2010-09-16.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Cheadle, Chris (2008). Portrait of Vancouver Island. Heritage House Pub. ISBN 978-1-894974-47-9. Iliwekwa mnamo 2013-06-27.
{{cite book}}
: Cite has empty unknown parameter:|coauthor=
(help)CS1 maint: postscript (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Kisiwa Vancouver travel guide kutoka Wikisafiri
- Birds of Vancouver Island
- Great Seal of the crown colony of Vancouver Island
- Measuring crustal motions in coastal British Columbia with continuous GPS Archived 8 Oktoba 2006 at the Wayback Machine.
- BC Ministry of Transportation – Report on Fixed Link Archived 21 Agosti 2010 at the Wayback Machine.
- Qualicum Beach Airport Archived 9 Machi 2012 at the Wayback Machine. on COPA's Places to Fly airport directory
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa Vancouver kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |