Zipora
Mandhari
Zipora (kwa Kiebrania צִפוֹרָה, Tsippora au Ṣippôrā, yaani ndege; kwa Kigiriki Σεπφώρα, Sepphōra; kwa Kiarabu صفورة, Ṣaffūrah) anatajwa katika kitabu cha Kutoka kama mke wa Mose, na binti Yetro, kuhani wa Midiani.[1][2][3][4][5]
Alimzalia Mose watoto wawili wa kiume: Gershom na Eliezer.
Kitabu cha kwanza cha Mambo ya Nyakati [6] kinataja wajukuu wake wawili: Shebueli, mwana wa Gershom, na Rehabia, mwana wa Eliezer.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Corduan, Winfried (2013). Neighboring Faiths: A Christian Introduction to World Religions. uk. 107. ISBN 0-8308-7197-7.
- ↑ Mackey, Sandra (2009). Mirror of the Arab World: Lebanon in Conflict. uk. 28. ISBN 0-3933-3374-4.
- ↑ Lev, David (25 Oktoba 2010). "MK Kara: Druze are Descended from Jews". Israel National News. Arutz Sheva. Iliwekwa mnamo 13 Aprili 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Blumberg, Arnold (1985). Zion Before Zionism: 1838-1880. Syracuse, NY: Syracuse University Press. uk. 201. ISBN 0-8156-2336-4.
- ↑ Rosenfeld, Judy (1952). Ticket to Israel: An Informative Guide. uk. 290.
- ↑ 23:16-17
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Pardes, Ilana (1992). "Zipporah and the Struggle for Deliverance" in Countertraditions in the Bible: A Feminist Approach. Cambridge: Harvard University Press. ISBN 9780674175426
- Piper, John (Septemba 2007). "Did Moses Marry a Black Woman?". 9Marks.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Zipora kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |