Ashraf Ghani
Mandhari
Ashraf Ghani Ahmadzai (kwa Kipashto: محمد اشرف غني احمدزی / kwa Kidari: محمد اشرف غنی احمدزی; alizaliwa 19 Mei 1949) ni mwanasiasa, msomi, na mchumi wa Afghanistan ambaye alihudumu kama Rais wa Afghanistan.
Tarehe 15 Agosti 2021 alikimbia nchi wakati Taliban walielekea kuingia mji mkuu, Kabul. Alifika Falme za Kiarabu alipopewa hifadhi.[1][2] Makamu wake Amrullah Saleh alitangaza kwamba amechukua nafasi yake kufuatana na katiba ya nchi.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Graham, Natasha Turak,Emma (2021-08-18). "Afghan President Ashraf Ghani resurfaces in UAE after fleeing Afghanistan, Emirati government says". CNBC (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-08-18.
{{cite web}}
: CS1 maint: multiple names: authors list (link) - ↑ "UAE says Afghanistan's Ghani is in Gulf Arab state". Reuters (kwa Kiingereza). 2021-08-18. Iliwekwa mnamo 2021-08-18.
- ↑ "Afghan Vice President Saleh Declares Himself Caretaker President; Reaches Out To Leaders for Support". News18 (kwa Kiingereza). 17 Agosti 2021. Iliwekwa mnamo 17 Agosti 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ashraf Ghani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |