[go: up one dir, main page]
More Web Proxy on the site http://driver.im/Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa mpira wa Juventus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Allianz meche ikichezeka usiku.

Allianz ni uwanja wa mpira wa miguu/soka unaopatikana katika mji wa Torino, nchini Italia.

Ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya Juventus ya Serie A.

Ulifunguliwa mwanzoni mwa msimu wa 2011-12 na una uwezo wa kuchukua watazamaji zaidi ya 41,000. Ulijengwa pembezoni mwa Stadio delle Alpi.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa mpira wa Juventus kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.