Wilaya ya Makueni
Mandhari
Wilaya ya Makueni | |
Wilaya ya Makueni katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Wote |
Eneo | |
- Jumla | 8,008.9 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 884,527 |
Wilaya ya Makueni ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mashariki wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwa Wote mjini.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Makueni.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mashariki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Makueni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |