Raheli
Mandhari
Raheli ni mwanamke wa Biblia anayejulikana hasa kutokana na Kitabu cha Mwanzo kama binti Labano na mke wa pili wa Yakobo Israeli, aliyemzalia watoto wawili, Yosefu na Benyamini.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifuhttps://www.santiebeati.it/dettaglio/92477.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Desemba[1], lakini pia tarehe 30 Septemba na 12 Mei.
Maana ya jina
[hariri | hariri chanzo]Kwa Kiebrania Rahel maana yake ni "kikondoo", hivyo “mpole”.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Raheli kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |