Paul W. S. Anderson
Mandhari
Paul W. S. Anderson | |
---|---|
Amezaliwa | 4 Machi 1965 Newcastle-upon-Tyne, England, UK |
Kazi yake | Mwongozaji wa filamu, mtayarishaji na mwandikaji muswaada andishi |
Ndoa | Milla Jovovich (2009–mpaka sasa) |
Watoto | Ever Gabo Anderson (3 Novemba 2007) |
Paul William Scott Anderson (amezaliwa tar. 4 Machi 1965), pia anajulikana kama Paul W. S. Anderson au Paul Anderson, ni mwongozaji wa filamu ambaye kikawaida hufanya kazi hasa filamu za uzushi wa kisayansi na kuchukua michezo ya video na kuibadili kuileta kwenye filamu.
Filmografia
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Filamu | Kacheza kama | ||
---|---|---|---|---|
Mwongozaji | Mwandishi | Mtayarishaji | ||
1994 | Shopping | Ndiyo | Ndiyo | |
1995 | Mortal Kombat | Ndiyo | ||
1997 | Event Horizon | Ndiyo | ||
1998 | Soldier | Ndiyo | ||
2000 | The Sight | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
2002 | Resident Evil | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
2004 | Alien vs. Predator | Ndiyo | Ndiyo | |
Resident Evil: Apocalypse | Ndiyo | Ndiyo | ||
2005 | The Dark | Ndiyo | ||
2007 | DOA: Dead or Alive | Ndiyo | ||
Resident Evil: Extinction | Ndiyo | Ndiyo | ||
2008 | Death Race | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
2009 | Pandorum | Ndiyo | ||
2010 | Resident Evil: Afterlife | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Kigezo:IMDb
- Paul W. S. Anderson Archived 27 Novemba 2004 at the Wayback Machine. at Rotten Tomatoes
- Paul Anderson Archived 17 Agosti 2013 at the Wayback Machine. at The Numbers
- Paul W. S. Anderson at Box Office Mojo
- Paul W. S. Anderson interview at JoBlo.com Archived 27 Desemba 2008 at the Wayback Machine.
- Paul W. S. Anderson Unofficial Fansite Archived 7 Oktoba 2011 at the Wayback Machine.