[go: up one dir, main page]
More Web Proxy on the site http://driver.im/Nenda kwa yaliyomo

Samuel John Sitta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sitta (2011)

Samuel John Sitta (amezaliwa 18 Desemba, 1942) ni mbunge wa jimbo la Urambo Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Samwel Sitta". 28 Juni 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-27. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.