[go: up one dir, main page]
More Web Proxy on the site http://driver.im/Nenda kwa yaliyomo

Saikoanalisia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Saikoanalisia au mkabala wa unafsiya ni tawi la saikolojia, ambalo muasisi wake mkuu ni Mwaustria Sigmund Freud (1856-1939)[1]. Mbinu zake zinachunguza kwanza sehemu ya nafsi isiyoelea kwa kawaida (unconscious mind), lakini ni chanzo cha mengi katika mwenendo wa binadamu[2] ili kumtibu mwenye matatizo ya nafsi.

Tawi hilo liliendelezwa kwa namna mbalimbali na Alfred Adler, Carl Gustav Jung, Erich Fromm, Karen Horney, Harry Stack Sullivan n.k.[3] Freud retained the term psychoanalysis for his own school of thought.[4].

  1. Merton M. Gill, American Mental Health Foundation: "What is psychoanalysis? Of course, one is supposed to answer that it is many things — a theory, a research method, a therapy, a body of knowledge. In what might be considered an unfortunately abbreviated description, Freud said that anyone who recognizes transference and resistance is a psychoanalyst, even if he comes to conclusions other than his own. ... I prefer to think of the analytic situation more broadly, as one in which someone seeking help tries to speak as freely as he can to someone who listens as carefully as he can with the aim of articulating what is going on between them and why. David Rapaport (1967a) once defined the analytic situation as carrying the method of interpersonal relationship to its last consequences." Gill, Merton M. "Psychoanalysis, Part 1: Proposals for the Future", American Mental Health Foundation, archived 10 June 2009
  2. Jane Milton, Caroline Polmear, Julia Fabricius. A Short Introduction to Psychoanalysis. SAGE, 2011, 27. "All psychoanalytic theories include the idea that unconscious thoughts and feelings are central in mental functioning."
  3. Birnbach, Martin. Neo-Freudian Social Philosophy, Stanford University Press, 1961, 3.
  4. Mitchell, Juliet. Psychoanalysis and Feminism: A Radical Reassessment of Freudian Psychoanalysis. Penguin Books, 2000, 341.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saikoanalisia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.