Nuktambili
Mandhari
Nuktambili au nukta pacha ni alama ya uakifishaji. Ina nukta mbili zinazokaa moja juu ya nyingine (:). Inatumiwa katika sentensi kudokeza ya kwamba yale yanayofuata ni maneno kamili ya msemaji au nukuu. Menginevyo kuashiria yale yanayofuata kama ni mfano, orodha n.k.