Mkoa wa Manisa
Mandhari
Mkoa wa Manisa | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Manisa nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Aegean |
Eneo: | 13,810 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 1,278,657 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 45 |
Kodi ya eneo: | 0236 |
Tovuti ya Gavana | http://www.manisa.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/manisa |
Manisa ni jina la kutaja mkoa uliopo mjini magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mikoa yake ya karibuni ni pamoja na İzmir kwa upande wa magharibi, Aydın kwa upande wa kusini, Denizli kwa upande wa kusini-mashariki mwa nchi, Uşak kwa upande wa mashariki, Kütahya kwa upande wa kaskazini-mashariki, na Balıkesir kwa upande wa kaskazini. Mji mkuu wa moani hapa ni Manisa.
Wilaya za mkoani hapa
[hariri | hariri chanzo]Mkoa wa Manisa umeganyika katika wilaya takriban 16 (mji mkuu umekoozeshwa):
- Ahmetli
- Akhisar
- Alaşehir
- Demirci
- Gölmarmara
- Gördes
- Kırkağaç
- Köprübaşı
- Kula
- Manisa
- Salihli
- Sarıgöl
- Saruhanlı
- Selendi
- Soma
- Turgutlu
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Manisa Weather Forecast Information Archived 17 Desemba 2005 at the Wayback Machine.
- Selendi is a town and a district of Manisa Province Archived 21 Februari 2020 at the Wayback Machine.
- MANİSA Gölmarmara ESELER (İsalar) Village Archived 30 Agosti 2009 at the Wayback Machine.
- About Everything living in Manisa Archived 8 Mei 2021 at the Wayback Machine.