Meli kubwa duniani
Mandhari
Meli kubwa duniani siku hizi ni meli za mizigo hasa zinazobeba mafuta ya petroli au kontena, lakini pia meli za abiria zinazobeba watalii kwa burudani. Kuna pia meli chache zenye kusudi maalumu kama MS Pioneering Spirit ambayo ni meli kubwa ya winchi kwa ujenzi baharini.
Meli kubwa kabisa iliyojengwa hadi sasa ilikuwa Seawise Giant yenye tani GT 564,763 na urefu wa mita 458. Ilitengenezwa mwaka 1974-1979 nchini Japani kwa kampuni ya Kigiriki na kurefushwa baadaye hadi kufikia mita 458. Kutokana na ukubwa wake haukuweza kupita wala katika Mfereji wa Suez wala katika Mfereji wa Kiingereza. Miaka yake ya mwisho ilitumiwa kama tangi ya mafuta tu bila kusafiri tena. Mwaka 2009 ilivunjika.
Orodha ya meli kubwa duniani mnamo mwaka 2018
[hariri | hariri chanzo]Jina | inabeba | Urefu | Kina chini ya uso wa maji | Tani GT | Wajenzi | Wamiliki | ref |
---|---|---|---|---|---|---|---|
Pioneering Spirit | winchi na karahana | mita 382 | mita 10–15 | 403,342 | Daewoo Shipbuilding & Marine Engineering | Allseas | [1] |
FSO Asia | mafuta | mita 379 | mita 24.525 | 234,006 | Daewoo Shipbuilding & Marine Engineering | Tankers International | |
FSO Africa | mafuta | mita 379 | mita 24.525 | 234,006 | Daewoo Shipbuilding & Marine Engineering | Tankers International | |
TI Europe | mafuta | mita 379 | mita 24.525 | 234,006 | Daewoo Shipbuilding & Marine Engineering | Tankers International | |
Seaways Laura Lynn | mafuta | mita 379 | mita 24.525 | 234,006 | Daewoo Shipbuilding & Marine Engineering | Tankers International | |
Symphony of the Seas | abiria | mita 361.011 | mita 9.322 | 228,081 | STX France SA | Royal Caribbean International | [2] |
Harmony of the Seas | abiria | mita 362.1 | mita 9 | 226,963 | STX France SA | Royal Caribbean International | [3] |
Oasis of the Seas | abiria | mita 360 | mita 9 | 225,282 | STX Turku Shipyard | Royal Caribbean International | [4] |
Allure of the Seas | abiria | mita 360 | mita 9 | 225,282 | STX Turku Shipyard | Royal Caribbean International | [5] |
CMA CGM Antoine de Saint Exupery | kontena | mita 400 | mita 16 | 217,673 | Hanjin Heavy Industries and Construction Philippines | CMA CGM | [6] |
CMA CGM Jean Mermoz | kontena | mita 400 | mita 16 | 217,673 | Hanjin Heavy Industries and Construction Philippines | CMA CGM | |
Ever Golden | kontena | mita 400 | mita 16 | 217,612 | Imabari Shipbuilding Saijo | Evergreen Marine | [7] |
Ever Genius | kontena | mita 400 | mita 16 | 217,612 | Imabari Shipbuilding Saijo | Evergreen Marine | |
Ever Goods | kontena | mita 400 | mita 16 | 217,612 | Imabari Shipbuilding Marugame | Evergreen Marine | [8] |
Madrid Maersk | kontena | mita 399 | mita 16 | 214,286 | Daewoo Shipbuilding and Marine Engineering | Maersk | [9] |
Munich Maersk | kontena | mita 399 | mita 16 | 214,286 | Daewoo Shipbuilding and Marine Engineering | Maersk | [10] |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Pioneering Spirit kwenye tovuti ya allseas.com
- ↑ "Symphony of the Seas (34719)". DNV GL Vessel Register. Det Norske Veritas. Iliwekwa mnamo 2018-03-23.
- ↑ "Harmony of the Seas (33249)". DNV GL Vessel Register. Det Norske Veritas. Iliwekwa mnamo 2018-01-12.
- ↑ "Oasis of the Seas (27091)". DNV GL Vessel Register. Det Norske Veritas. Iliwekwa mnamo 2018-01-12.
- ↑ "Allure of the Seas (28329)". DNV GL Vessel Register. Det Norske Veritas. Iliwekwa mnamo 2018-01-12.
- ↑ "CMA CGM Antoine de Saint Exupery (9776418)". Veristar Info. Bureau Veritas. Iliwekwa mnamo 2018-02-23.
- ↑ "Ever Golden (18265349)". ABS Record. American Bureau of Shipping. Iliwekwa mnamo 2018-04-01.
- ↑ "Ever Goods (18265350)". ABS Record. American Bureau of Shipping. Iliwekwa mnamo 2018-06-06.
- ↑ "Madrid Maersk (17265397)". ABS Record. American Bureau of Shipping. Iliwekwa mnamo 2018-02-04.
- ↑ "Munich Maersk (17265398)". ABS Record. American Bureau of Shipping. Iliwekwa mnamo 2018-02-04.