[go: up one dir, main page]
More Web Proxy on the site http://driver.im/Nenda kwa yaliyomo

Manganisi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Manganisi
Manganisi
Manganisi
Jina la Elementi Manganisi
Alama Mn
Namba atomia 25
Mfululizo safu Metali
Uzani atomia 54.938
Valensi 2, 8, 15
Densiti 7.21 g/cm³
Ugumu (Mohs) {{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka 1519 K (1246 °C)
Kiwango cha kuchemka 2334 K (2061 °C)
Asilimia za ganda la dunia 0.09 %
Hali maada mango

Manganisi ni elementi na metali yenye namba atomia 25 na alama Mn katika mfumo radidia wa elementi. Ni metali kechu yenye rangi kifedha-nyeupe inayopatikana katika madini hasa pamoja na chuma na kampaundi mbalimbali.

Hutumiwa sana katika aloi za feleji pia alumini na kuongeza ugumu wa aloi.

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Manganisi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.