[go: up one dir, main page]
More Web Proxy on the site http://driver.im/Nenda kwa yaliyomo

Lunda Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Lunda Kusini
Lunda Sul
Mahali paLunda Kusini Lunda Sul
Mahali paLunda Kusini
Lunda Sul
Mahali pa Mkoa wa Lunda Kusini katika Angola
Nchi Angola
Mji mkuu Saurimo
Eneo
 - Jumla 45,649 km²
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 169.100

Lunda Kusini (Kireno: Lundua Sul) ni kati ya mikoa kumi na nane ya Angola.

Una wakazi 169.100 kwenye eneo la km² 45.649. Makao makuu ya mkoa yapo Saurimo.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lunda Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.