[go: up one dir, main page]
More Web Proxy on the site http://driver.im/Nenda kwa yaliyomo

Louis de Broglie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Louis-Victor Broglie (1929)

Louis-Victor Broglie (15 Agosti 189219 Machi 1987) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza sifa za elektroni na nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1929 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Louis de Broglie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.