[go: up one dir, main page]
More Web Proxy on the site http://driver.im/Nenda kwa yaliyomo

Ordu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Ordu

Ordu ni jina la kutaja mji na bandari uliopo katika pwani ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Huu ndio mji mkuu wa Jimbo la Ordu. Kiasili jina lina maana ya "jeshi" kwa Kituruki (lakini limetokana na Kiingereza cha kisasa yaani "horde"). Mji una wakazi takriban 136,000, kwa mujibu wa sensa walioifanya katika mwaka wa 2008. Mji upo m 5 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ordu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.