Kisilt’e
Mandhari
Kisilt'e ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wasilt'e. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kisilt'e imehesabiwa kuwa watu 935,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisilt'e iko katika kundi la Kisemitiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kisilt'e kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisilt'e
- lugha ya Kisilt'e katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/stv
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisilt’e kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |