Kiorang-Kanaq
Mandhari
Kiorang-Kanaq ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Waorang-Kanaq. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kiorang-Kanaq imehesabiwa kuwa watu 160 tu; maana yake lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiorang-Kanaq iko katika kundi la Kimalayiki. Wengine huiangalia kama lahaja ya Kimalay tu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiorang-Kanaq kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiorang-Kanaq
- lugha ya Kiorang-Kanaq katika Glottolog
- lugha ya Kiorang-Kanaq kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiorang-Kanaq kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |