Kimakonde
Mandhari
Kimakonde ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania na Msumbiji inayozungumzwa na Wamakonde. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimakonde iko katika kundi la P20.
Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimakonde nchini Tanzania imehesabiwa kuwa watu 960,000. Pia kuna wasemaji 360,000 nchini Msumbiji.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimakonde kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimakonde Archived 8 Oktoba 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimakonde katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kde
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Archived 4 Oktoba 2006 at the Wayback Machine.
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kimakonde)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Liphola, Marcelino. 2001. Aspects of phonology and prosody in Shimakonde. PhD thesis. Ohio State University at Columbus.
- Lorenz, A. 1914. Entwurf einer Kimakonde-Grammatik. Mitteilungen des Seminars für orientalische Sprachen, 17 (III. Abt.), uk.46-117.
- Yukawa, Yasutoshi. 1989. A tonological study of Makonde verbs. In: Studies in Tanzanian languages (Bantu linguistics, vol 2), uk.519-560. Tokyo: Institute for the Study of Languages and Cultures of Asia and Africa (ILCAA), Tokyo University of Foreign Studies.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimakonde kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |