Kigezo:Futa
Mandhari
Kuna pendekezo la kufuta makala hii. Ona majadiliano kwenye ukurasa wa majadiliano na hapa. Unaweza kuondoa kigezo hiki baada ya mapatano kwenye ukurasa wa "Wikipedia:Makala kwa ufutaji" (tazama juu). |
Maelezo:
Kigezo hiki unaweza kukiweka juu ya makala ukiona ina kasoro nzito. Ukifanya hivyo unatakiwa kueleza sababu zako za kutaka makala ifutwe: 1) kwenye ukurasa wa majadiliano na 2) kwenye ukurasa wa ufutio Wikipedia:Makala_kwa_ufutaji.