Kandamseto
Mandhari
Kandamseto au kanda-iliyofanywa-mseto ni ainasafu ya jina lililotolewa kwa ajili ya nyimbo mchanganyiko zilizorekodiwa katika muundo wa sauti.[1]
Kandamseto, ambayo kikawaida hutumika kama jaribio la kimuziki kwa muandaaji wake, inaweza kupangwa kutoka katika orodha ya nyimbo anazozipenda, hadi mseto wa dhana ya nyimbo zinazofungamana na fasihi au hali ya kutaka kitu kile ambacho mlewanga anataka kusikiliza. [2] Kandamseto, nayo huhesabiwa kama sehemu ya utamaduni wa hip hop.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mixtape". Merriam Webster. Iliwekwa mnamo 2012-04-04.
- ↑ Resnick, Michael (2006). "BurnLists: The Digital "Mix Tape" Comes Of Age". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-12-10. Iliwekwa mnamo 2007-01-15.
Soma zaidi
[hariri | hariri chanzo]- Corn, Doron Porat (c2002). "History of Mixtapes" AllMixTapes.com
- Ellis, Bret Easton (1986). Less Than Zero. ISBN 0-679-78149-8
- Erdman, Sarah (2003). Nine Hills to Nambonkaha: Two Years in the Heart of An African Village. ISBN 0-8050-7381-7
- Gallagher, David (30 January 2003). For the mix tape, a digital upgrade and notoriety. The New York Times.
- Hornby, Nick (1995). High Fidelity. ISBN 1-57322-551-7
- Hornby, Nick (2003). Songbook. ISBN 1-57322-356-5
- Keller, Joel (22 January 2004). PCs killed the mix-tape star Archived 27 Oktoba 2004 at the Wayback Machine.. Salon.com.
- Mobley, Max (5 December 2007). "Requiem for the Mixtape" Archived 23 Februari 2008 at the Wayback Machine.. Crawdaddy!.
- Moore, Thurston (2004). Mix Tape. ISBN 0-7893-1199-2
- McMahon, Andrew (2005): "The Mixed Tape", Everything In Transit — Jack's Mannequin
- O'Brien, Geoffrey (2004). Sonata for Jukebox. ISBN 1-58243-192-2
- Paul, James (26 September 2003). Last night a mix tape saved my life. The Guardian.
- Sante, Luc (13 May 2004). Disco Dreams. The New York Review of Books. (This review of Songbook and Sonata for Jukebox describes the mix tape as "one part Victorian flower album, one part commonplace book, one part collage, and one part recital.")
- Stuever, Hank (29 October 2002). Unspooled: In the digital age, the quaint cassette is sent reeling into history's dustbin Archived 16 Septemba 2018 at the Wayback Machine.. Washington Post.
- Vowell, Sarah (2001). Take the Cannoli: Stories from the New World. ISBN 0-7432-0540-5
- Warner, Alan (1995). Morvern Callar. ISBN 0-385-48741-X
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kandamseto kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |