[go: up one dir, main page]
More Web Proxy on the site http://driver.im/Nenda kwa yaliyomo

Kachumbari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aina ya kachumbari isiyopikwa.

Kachumbari (kutoka neno la Kihindi cachumber) ni mchanganyiko wa viungo kama pilipili, chumvi na mboga na matunda mbalimbali kama nyanya, vitunguu, kabichi, matango, nanasi, parachichi n.k.

Mara nyingi hutumika pamoja na pilau, wali, nyama choma n.k. ili kuongeza ladha ya chakula.

Kachumbari ni maarufu sana katika Nchi za Maziwa Makuu.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kachumbari kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.