[go: up one dir, main page]
More Web Proxy on the site http://driver.im/Nenda kwa yaliyomo

Fakahina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fakahina

Fakahina ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa mashariki wa kisiwa cha Fangatau. Eneo la kisiwa ni 8 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Tarione. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 155. Watu wakaao kisiwani kwa Fakahina huongea Kituamotu na Kitahiti.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.