[go: up one dir, main page]
More Web Proxy on the site http://driver.im/Nenda kwa yaliyomo

Ellen Glasgow

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ellen Glasgow

Ellen Glasgow (22 Aprili 187321 Novemba 1945) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1942, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake In This Our Life.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ellen Glasgow kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.