Elisa David Mollel
Mandhari
Elisa David Mollel (amezaliwa tarehe 17 Februari, 1945) ni mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi (Akheri) katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mengi kuhusu Elisa David Mollel". 3 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |