Eldama Ravine
Mandhari
Eldama Ravine | |
Kaunti | Baringo |
---|---|
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 45,799 |
Eldama Ravine ni mji wa Kenya, kaunti ya Baringo, katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki.
Wakazi walikuwa 45,799 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].
Maeneo yenye watu wengi ni nyanda za juu kama maji mazuri, timboroa, torongo na viunga vya mji wenyewe. Nyanda za chini ni kame na yana watu wachache.
Eneo hili lina misitu ya asili pamoja na inayopandwa. Eneo Chemususu lina eneo kubwa zaidi yenya miti ya asili. Maeneo mengine yana misitu za kupandwa yenye mita kama Cypress, Pine na Eucalyptus, maeneo haya ni Sabatia, Timboroa, Maji Mazuri na Esageri.
Mazao ni mahindi, viazi vyekundu, machungwa, mboga na matunda mbalimbali.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eldama Ravine kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |