Einar Gerhardsen
Mandhari
Einar Gerhardsen (10 Mei 1897 – 19 Novemba 1987) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Norwei. Alikuwa Waziri Mkuu wa Norwei mara tatu, yaani 1945-1951, 1955-1963 na 1963-1965.
Angalia Pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Einar Gerhardsen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |