[go: up one dir, main page]
More Web Proxy on the site http://driver.im/Nenda kwa yaliyomo

Benki ya Equity

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Benki ya Equity Tanzania Limited ni benki ya biashara nchini Tanzania, ambayo ni ya pili kiuchumi ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Imesajiliwa na Benki ya Tanzania, Benki kuu na mdhibiti wa kitaifa wa benki nchini.[1][2]

Benki hiyo ni mwanachama wa Equity Group Holdings Limited, moja kati ya taasisi za biashara kubwa zaidi, iliyo na makao makuu yake Nairobi, Kenya, ikiwa na matawi Kenya, Rwanda, South Sudan, Tanzania, Uganda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Msumbiji, na Zambia.[3]

Hadi septemba 2014, Benki ya Equity Tanzania Limited imemiliki mali yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 143.42, na dola za kimarekani milioni 107.68 katika amana ya wateja na kitabu cha mkopo dola za kimarekani milioni 87.1. BBT ni mtoaji mkubwa wa huduma za kibiashara Tanzania, kutumikia mashirika makubwa, biashara ndogo hadi za kati, na watu binafsi. Kuanzia Machi 2013 mali yake yote ilikuwa na thamani ya karibia $ 382,000,000 (TZS: bilioni 634.34). [4] Kuanzia Disemba 2013, benki hii ilikuwa na wateja 87,000.[5]

  1. Bank of Tanzania (2019). "Directory of Commercial Banks Operating In Tanzania". Dar es Salaam: B (BOT). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-14. Iliwekwa mnamo 5 Julai 2019. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Bank of Tanzania (20 Februari 2012). "Bank of Tanzania Issues Commercial Banking License To Equity Bank Tanzania Limited" (PDF). Bank of Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2015-09-23. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2014. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Victor Juma (5 Julai 2019). "Equity deal adds 2,641 new staff to payroll". Business Daily Africa. Nairobi. Iliwekwa mnamo 5 Julai 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Corporate Digest, . (18 Mei 2013). "Barclays Bank Tanzania Manages To Cut Expenses". Corporate-Digest.Com. Iliwekwa mnamo 9 Novemba 2014. {{cite web}}: |first= has numeric name (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Ndzamela, Phakamisa (9 Juni 2014). "Barclays To Keep Two Tanzanian Banks". Business Day (South Africa). Iliwekwa mnamo 9 Novemba 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benki ya Equity kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.