Bendera ya Slovenia
Mandhari
Bendera ya Slovenia ina milia mitatu ya kulala katika rangi za Umoja wa Waslavi nyeupe-buluu-nyekundu pamoja na ngao ya nembo la kitaifa juu ya milia miwili ya juu. Bendera hili lilianzishwa tangu Juni 1991.
Kuna pendekezo la kuwa na bendera jipya kwa sababu bendera jinsi ilivyo inafanana sana mabendera mengine yenye rangi za Waslavi hasa bendera ya Slovakia.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Mapendekezo kwa bendera jipya ya Slovenia
- en: Tovuti ya serikali kuhusu bendera Archived 10 Februari 2006 at the Wayback Machine.