Abdus Salam
Mandhari
Abdus Salam (29 Januari 1926 – 21 Novemba 1996) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Pakistan. Hasa alichunguza usumaku. Mwaka wa 1979, pamoja na Sheldon Glashow na Steven Weinberg alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, Mwislamu wa kwanza kupata tuzo hiyo.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abdus Salam kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |