[go: up one dir, main page]
More Web Proxy on the site http://driver.im/Nenda kwa yaliyomo

Chamwino (Morogoro mjini)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa matumizi tofauti ya jina hilo angalia Chamwino (maana)

Chamwino ni kata ya Wilaya ya Morogoro Mjini katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania. Ilianzishwa baada ya sensa ya mwaka 2012. Msimbo wa posta ni 67127. [1]

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 28,779 [2].

  1. Combined postcode list Archived 26 Julai 2018 at the Wayback Machine., tovuti ya TCRA, iliangaliwa Desemba 2019
  2. https://www.nbs.go.tz
Kata za Wilaya ya Morogoro Mjini - Mkoa wa Morogoro - Tanzania

Bigwa | Boma | Chamwino | Kauzeni | Kichangani | Kihonda | Kihonda Maghorofani | Kilakala | Kingo | Kingolwira | Kiwanja cha Ndege | Luhungo | Lukobe | Mafiga | Mafisa | Magadu | Mazimbu | Mbuyuni | Mindu | Mji Mkuu | Mji Mpya | Mkundi | Mlimani | Mwembesongo | Mzinga | Sabasaba | Sultan Area | Tungi | Uwanja wa Taifa


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chamwino (Morogoro mjini) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.