[go: up one dir, main page]
More Web Proxy on the site http://driver.im/Nenda kwa yaliyomo

Yenisey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 01:45, 19 Aprili 2016 na CYl7EPTEMA777 (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Yenisey
Mto Yenisei
Chanzo Mto Ka-Hem, Urusi
Mdomo Bahari ya Kara
Nchi Urusi
Urefu 3,487 km
Kimo cha chanzo 650 m
Mkondo 19,800 m³/s
Eneo la beseni 2,580,000 km²
Miji mikubwa kando lake Kyzyl, Abakan, Krasnoyarsk, Lesosibirsk, Yeniseysk, Igarka, Dudinka

Yenisey au Yenisei (Kirusi: Енисей) ni mto mrefu wa Siberia, Urusi. Urefu wake ni 3487 km. Iko katika mkoa wa Tuva, Krasnoyarsk Krai na Hakasia.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]