Wagweno
Mandhari
Wagweno ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Kilimanjaro, upande wa Kaskazini wa Milima ya Upare. Lugha yao ni Kigweno.
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wagweno kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |