[go: up one dir, main page]
More Web Proxy on the site http://driver.im/

Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Taarifa kuhusu COVID-19: Google inaipa kipaumbele afya na usalama wa kila mtu; hali hii inaweza kuathiri Utafiti wa UX. Pata Maelezo Zaidi

  • English
  • বাংলা
  • Deutsch
  • English (United Kingdom)
  • Español
  • Español (Latinoamérica)
  • Français
  • हिन्दी
  • Indonesia
  • Italiano
  • 日本語
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • Kiswahili
  • 中文 (简体)
  • 中文 (繁體)

Taarifa kuhusu COVID-19: Google inaipa kipaumbele afya na usalama wa kila mtu; hali hii inaweza kuathiri Utafiti wa UX. Pata Maelezo Zaidi

Saidia kuboresha mustakabali wa Google

Tunathamini maoni yako

Tungependa kupata maoni yako, ili tuendelee kubuni bidhaa za Google zinazokufaa. Utapata nafasi ya kuchangia kwenye vitu ambavyo mamilioni ya watu hutumia kila siku, kuanzia barua pepe na programu za kuongeza tija hadi zana za wasanidi programu na waelimishaji. 

Hata kama hutumii bidhaa za Google kwa sasa, bado unaweza kujisajili ili upate fursa ya kushiriki katika utafiti wetu. Iwapo mojawapo ya tafiti zetu unakufaa, tutawasiliana nawe kwa kukupa maelezo na hatua zitakazofuata. Washiriki wengi watapokea zawadi ndogo ya shukrani.

Kikundi cha watu watatu wakishirikiana ili kuweka vipengele vikubwa mno kwenye picha inayoashiria programu ya ramani ikitengenezwa.

Ufuatao ni utaratibu wa kushiriki

Mtu aliye kwenye dawati akijaza fomu ya kujisajili katika kompyuta kibao.

Jisajili

Tupe maelezo kiasi kukuhusu kwa kujaza fomu. Yatatusaidia kubaini ikiwa tafiti zozote zijazo za UX zitakufaa.

Mtu akishiriki katika simu ya video kwa mbali.

Jiunge kwenye kipindi cha utafiti

Iwapo utafiti unakufaa, utapokea dodoso ya ufuatiliaji na maelezo kuhusu mada ya utafiti, ikiwa ni pamoja na hatua zitakazofuata na mahali. 

Mtu akishikilia kikasha cha zawadi iliyofungwa.

Kubali shukrani zetu

Baada ya kukamilisha utafiti, washiriki wengi watapata zawadi ndogo ya shukrani kwa muda wao. 

Saidia kuboresha mustakabali wa Google

Maoni yako yatatuwezesha kuendeleza kazi yetu ya kufanya Google imfae kila mtu – bila kujali ni akina nani, mahali wanapoishi au wanachotaka kutimiza.

Ili upate maelezo zaidi, angalia Maswali yetu Yanayoulizwa Sana.