[go: up one dir, main page]
More Web Proxy on the site http://driver.im/

Wilaya ya Mkoani ni wilaya mojawapo kati ya 2 za Mkoa wa Pemba Kusini, yenye postikodi namba 74100.

Mahali pa Mkoani (kijani) katika mkoa wa Pemba Kusini.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 135,052 [1]. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ilihesabiwa kuwa 97,867. [2]

Marejeo

hariri
  1. https://www.nbs.go.tz
  2. "Sensa ya mwaka 2012, Mkoa wa Pemba Kusini - Mkoani" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-03-29. Iliwekwa mnamo 2018-03-23.
  Kata za Wilaya ya Mkoani - Mkoa wa Pemba Kusini - Tanzania  

Chambani | Changaweni | Chokocho | Chole | Chumbageni | Dodo | Jombwe | Kangani | Kendwa | Kengeja | Kisiwapanza | Kiwani | Kuukuu | Makombeni | Makoongwe | Mbuguani | Mbuyuni | Mchakwe | Mgagadu | Michenzani | Minazini | Mizingani | Mjimbini | Mkanyageni | Mkungu | Mtambile | Mtangani | Mwambe | Ng'ombeni | Ngwachani | Shamiani | Shidi | Stahabu | Ukutini | Uweleni | Wambaa


  Makala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mkoani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.