[go: up one dir, main page]
More Web Proxy on the site http://driver.im/

Vladimir Cvijan (alizaliwa 24 Novemba 1976 na kufariki 5 Januari 2018)alikuwa wakili na mwanasiasa wa Serbia.Kuanzia mwaka 2004 hadi mwaka 2010 aliwahi kuwa mshauri wa sheria na Katibu Mkuu wa Rais wa Serbia, Boris Tadić.

Muundo au mpangilio wa makala hii hailingani na masharti ya makala ya wikipedia. Inahitaji kuangaliwa upya.

Angalia mpangilio wa maandishi yake, umbo la vichwa na viungo ndani yake. Isipopangiliwa upya makala inaweza kufutwa.


Angalia ukurasa wa majadiliano! (Kibonye cha pili hapo juu kwenye dirisha hili)
Vladimir Cvijan

[1]

Wasifu

hariri

Elimu na taaluma ya sheria

Cvijan alizaliwa tarehe 24 Novemba 1976 huko Belgrade.Baba yake, Mirko,alizaliwa Pec ila akakulia Bosnia na Herzegovina na alikuwa profesa na mkurugenzi wa Kitivo cha Biolojia cha Chuo Kikuu cha Belgrade, huku mama yake Zlatinka akitoka Kikinda.

Utawala na taaluma ya kisiasa

Kuanzia Oktoba, 2004 alihusika kama mshauri wa uchambuzi wa kitaalam katika uwanja wa sheria kwa mahitaji ya baraza la mawaziri la Rais Boris Tadić na kama katibu wa Baraza la Kisheria la Rais wa Serbia

Marejeo

hariri
  1. "Порекло Владимира Цвијана – Порекло". www.poreklo.rs (kwa Kiserbia). 21 Septemba 2013. Iliwekwa mnamo 27 Machi 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vladimir Cvijan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.