[go: up one dir, main page]
More Web Proxy on the site http://driver.im/

Ndoano (pia ndoana) ni kifaa kinachotumka katika uvuaji wa samaki. Mvuvi huweka chambo kwenye ndoano na kuitupia majini.

Ndoano na sehemu zake.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ndoano kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.