[go: up one dir, main page]
More Web Proxy on the site http://driver.im/

Kibaka (Kamerun)

(Elekezwa kutoka Kibaka (lugha ya Kamerun))

Kibaka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabaka. Isichanganywe na Kibaka cha Sudan. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kibaka nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 40,000. Pia kuna wasemaji 3200 nchini Gabon. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibaka iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibaka (Kamerun) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.