Jiografia
Jiografia ni somo la Dunia na vipengele vyake, wakazi wake, na maajabu yake.[1]
Neno la Kiswahili jiografia linafuata matamshi ya Kiingereza ya neno la Kigiriki "γεωγραφία", geo-grafia kutoka gê "dunia" na graphein "kuandika". Lina maana ya "kuandika kuhusu Dunia". Neno hili lilianza kutumiwa kwa mara ya kwanza na mwanasayansi Eratosthenes (276-194 KK).
Sehemu za jiografia ni vitu kama mabara, bahari, mito na milima. Wakazi wake ni watu wote na wanyama waishio juu yake. Maajabu yake ni vitu vinavyotokea kama vile maji kujaa na kupwa, upepo, na tetemeko la ardhi.
Afrika ya Mashariki
hariri- Burundi
- Eritrea
- Jibuti
- Kenya
- Komoro
- Rwanda
- Shelisheli
- Somalia
- Tanzania
- Uganda
- Uhabeshi (Ethiopia)
- Sudan Kusini
Afrika ya Kati
hariri- Gabon
- Guinea ya Ikweta
- Jamhuri ya Afrika ya Kati
- Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- Jamhuri ya Kongo
- Kamerun
- Sao Tome na Principe
Afrika ya Kaskazini
haririAfrika ya Kusini
hariri- Angola
- Botswana
- Eswatini
- Lesotho
- Malawi
- Mauritius
- Msumbiji (Mozambiki)
- Namibia
- Afrika Kusini
- Zambia
- Zimbabwe
Afrika ya Magharibi
haririNchi za Amerika ya Kaskazini
haririNchi za Amerika ya Kati
haririNchi za barani
hariri*(Meksiko mara nyingi huhesabiwa katika Amerika ya Kati kwa sababu za kiutamaduni)
Nchi za visiwa vya Karibi
haririNchi za Amerika ya Kusini
haririAsia ya Kati
haririAsia ya Kaskazini
haririAsia ya Mashariki
hariri- Uchina (pamoja na Taiwan)
- Japani
- Korea Kaskazini
- Korea Kusini
Asia ya Kusini-Mashariki
hariri- Brunei
- Indonesia
- Kamboja
- Laos
- Malaysia
- Myanmar (zamani iliitwa Burma)
- Philippines
- Singapur
- Thailand (zamani iliitwa Siam)
- Timor Mashariki
- Vietnam
Asia ya Kusini
haririAsia ya Magharibi
hariri- Armenia
- Azerbaijan
- Georgia
- Irak
- Israel
- Yordani
- Libanon
- Palestina
- Shamu (au: Syria)
- Uajemi (au Iran au Persia)
- Uturuki
Bara Arabu
haririTazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ "Geography". The American Heritage Dictionary/ of the English Language, Fourth Edition. Houghton Mifflin Company. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2006.
- ↑ Inatajwa kama "Zebaki" katika kamusi kadhaa, kwa kosa la kutafsiri upya jina la Kiingereza "Mercury" linalomaanisha metali na pia sayari, tofauti na Kiswahili
- ↑ inaitwa kwa kosa "Sumbula" katika vitabu vichache; lakini Sumbula ni jina la nyota ya en:Spica
- ↑ Katika vitabu vichache inaitwa "Saratani" au "Satani" kwa kosa; Saratani ni jina la kundinyota ya Cancer; inaonekana kuna kosa kutokana matamshi ya kienyeshi ya jina "Saturn"
- ↑ Vitabu vichache vinatumia kwa kosa jina "Zohali" ambalo ni jina la sayari inayoitwa kwa Kiingereza "Saturn"
- ↑ Vitabu vichache vinatumia kwa kosa jina "Kausi" ambalo ni jina la kundinyota inayoitwa kwa Kiingereza "Sagittarius"
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jiografia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |