[go: up one dir, main page]
More Web Proxy on the site http://driver.im/

Alben William Barkley (24 Novemba, 187730 Aprili, 1956) alikuwa mwanasiasa wa Marekani. Kuanzia mwaka wa 1927 hadi 1949 alikuwa mbunge wa Senati ya Marekani akiwakilisha jimbo la Kentucky. Halafu alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais Harry S. Truman kuanzia mwaka wa 1949 hadi 1953. Kuanzia 1955 hadi kifo chake 1956 akawa seneta wa Kentucky tena.

Alben Barkley, Kaimu Rais wa Marekani

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alben Barkley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.