21 Agosti
tarehe
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 21 Agosti ni siku ya 233 ya mwaka (ya 234 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 132.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1567 - Mtakatifu Fransisko wa Sales, askofu Mkatoliki na mwalimu wa Kanisa kutoka Ufaransa
- 1904 - Count Basie, mwanamuziki wa Jazz kutoka Marekani
- 1939 - Festus Mogae, Rais wa Botswana
- 1967 - Carrie Anne Moss, mwigizaji wa filamu na mwanamitindo kutoka Kanada
- 1986 - Usain Bolt, mwanariadha kutoka Jamaika
Waliofariki
hariri- 1943 - Henrik Pontoppidan, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1917
- 1982 - Sobhuza II, mfalme wa Uswazi (1926-1982)
- 1995 - Subrahmanyan Chandrasekhar, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1983
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Pius X, Agatoniki na wenzake, Siriaka wa Roma, Kwadrato wa Utica, Euprepi, Lusori, Basa na wanae, Privati wa Mende, Sidoni Apolinari, Bernardo wa Alzira, Maria na Grasya, Yosefu Dang Dinh Vien n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 21 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |