[go: up one dir, main page]
More Web Proxy on the site http://driver.im/Nenda kwa yaliyomo

Yukari Kinga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yukari Kinga

Yuko Kinga (alizaliwa 2 Mei 1984) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani. Yuko anacheza kama beki wa klabu ya Sanfrecce Hiroshima Regina inayoshiriki ligi ya WE. Awali alichezea timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanawake ya Japan na kufanikiwa kushinda Kombe la Dunia na medali ya fedha ya Olimpiki kabla mnamo mwaka 2016 kabla ya kustaafu.[1][2][3]

  1. "Nadeshiko Japan's Kawasumi to play for U.S. team", 29 January 2014. 
  2. "Club signs Yukari Kinga and Shinobu Ohno". arsenal.com. Arsenal L.F.C.
  3. "Women's FA Cup final: Arsenal beat Everton to retain trophy", BBC Sport. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yukari Kinga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.