Papa Urban II
Mandhari
Papa Urban II, O.S.B. (1042 – 29 Julai 1099) alikuwa Papa kuanzia tarehe 12 Machi 1088 hadi kifo chake[1]. Alitokea Chatillon-sur-Marne, Ufaransa[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Odo wa Lagery.
Alimfuata Papa Vikta III akafuatwa na Papa Paskali II.
Papa Leo XIII alimtangaza mwenye heri.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Urban II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |