Papa Adrian III
Mandhari
(Elekezwa kutoka Papa Adriano III)
Papa Adrian III | |
---|---|
Feast |
Papa Adrian III alikuwa Papa kuanzia tarehe 17 Mei 884 hadi kifo chake mnamo Agosti/Septemba 885[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2][3] .
Alimfuata Papa Marinus I akafuatwa na Papa Stefano V.
Katika mwaka wa Upapa wake alijitahidi kusaidia watu wa Italia walioteseka kwa vita na njaa[4].
Alitangazwa na Papa Leo XIII kuwa mtakatifu tarehe 2 Juni 1891.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Mapapa
Maandishi
[hariri | hariri chanzo]- Opera Omnia katika Patrologia Latina ya Migne pamoja na faharasa
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
- ↑ https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
- ↑ Reginald L. Poole (1917), "The Names and Numbers of Medieval Popes", The English Historical Review, 32 (128), 465–78, at 467.
- ↑ "Monks of Ramsgate. "Hadrian III". Book of Saints, 1921. CatholicSaints.Info. 1 September 2013".
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Dvornik, Francis (1948). The Photian Schism: History and Legend. Cambridge, UK: Cambridge University Press.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Adrian III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |