Kidhimal
Mandhari
Kidhimal ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal na Uhindi inayozungumzwa na Wadhimal. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kidhimal nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 19,300. Pia kuna wasemaji 450 nchini Uhindi. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidhimal iko katika kundi la Kisal.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidhimal kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidhimal Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidhimal katika Glottolog
- lugha ya Kidhimal kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidhimal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |