Bartolomeo Kijana
Mandhari
Bartolomeo Kijana (Rossano Calabro, mkoa wa Calabria, Italia, 981 – Grottaferrata, karibu na Roma, 1055) alikuwa abati wa monasteri ya Ukristo wa Mashariki aliyoianzisha pamoja na mwalimu wake, Nilo wa Rossano [1].
Mwenyewe alipoiongoza aliimarisha na kuifanya pia shule ya sayansi na sanaa [2].
Kati ya maandishi yake, muhimu zaidi ni kitabu cha maisha ya mwalimu wake huyo.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Novemba[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Silvio Giuseppe Mercati, BARTOLOMEO di Grottaferrata, San. In: Enciclopedia Italiana di scienze, lettere ed arti, Vol. VI, Roma: Istituto Treccani, 1930
- Mario Sgarbossa, I santi e i beati, Figlie di San Paolo, Milano 1998, ISBN 88-315-1585-3
- Rino Cammilleri, Santi dimenticati, Edizioni Piemme, Casale Monferrato, 1996 ISBN 88-384-2564-7
- Orazio Campagna, San Nilo di Rossano al Mercurion - L’Athos d’Italia, Edizioni Lo Faro, Roma 2000
- David Paul Hester. Monasticism and Spirituality of the Italo-Greeks. Volume 55 of Analekta Vlatadōn. Patriarachal Institute for Patristic Studies [Patriarchikon Hidryma Paterikon Meleton], 1992. pp. 200–221.
- Donald Attwater and Catherine Rachel John, "The Penguin Dictionary of Saints," 3rd edition, New York: Penguin Books, 1993, ISBN 0-14-051312-4.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Santa Maria di Grottaferrata Archived 3 Februari 2019 at the Wayback Machine. (Kiitalia)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |