[go: up one dir, main page]
More Web Proxy on the site http://driver.im/Nenda kwa yaliyomo

Alberto wa Butrio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alberto wa Butrio (aliishi Italia Kaskazini, karne ya 11) anatajwa kuwa mwanzilishi na abati wa kwanza wa monasteri ya Butrio [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadimishwa tarehe 5 Septemba [2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.