Andrei Rublev
Mandhari
Andrei Rublev (1360-1370 hivi - Andronikov Monastery, Moscow 29 Januari 1427-1430) (kwa Kirusi Андре́й Рублёв) alikuwa mchoraji bora wa picha takatifu kutoka Urusi.
Anaheshimiwa na Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 29 Januari au 4 Julai kila mwaka.
Baadhi ya michoro yake
[hariri | hariri chanzo]-
Ubatizo wa Yesu, 1405 (Kanisa kuu la Kupasha Habari, Kremlin, Moscow)
-
Kupasha Habari, 1405 (Kanisa kuu la Kupasha Habari, Kremlin, Moscow)
-
Toleo la Theotokos wa Vladimir, ca. 1405
-
Mtakatifu Gabrieli, 1408 Kanisa kuu la Kulala kwa Bikira Maria, Vladimir)
-
Andrea Mwitwa wa kwanza, 1408 Kanisa kuu la Kulala kwa Bikira Maria, Vladimir)
-
Mt. Gregori Mwanateolojia, 1408 Kanisa kuu la Kulala kwa Bikira Maria, Vladimir)
-
Theotokos kutoka Deësis, 1408 Kanisa kuu la Kulala kwa Bikira Maria, Vladimir) Baadhi wanaona mchoro huu ni wa Theofane Mgiriki
-
Mt. Yohane Mwanateolojia, 1408 Kanisa kuu la Kulala kwa Bikira Maria, Vladimir)
-
Yohane Mbatizaji, 1408 Kanisa kuu la Kulala kwa Bikira Maria, Vladimir)
-
Harrowing of Hell, 1408-1410 (Vladimir)
-
Kupaa kwa Yesu, 1408 (Tretyakov Gallery, Moscow)
-
Mtume Paulo, 1410s (Tretyakov Gallery, Moscow)
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Andrei Rublev, a 1966 film by Andrei Tarkovsky loosely based on the painter's life.
- Mikhail V. Alpatov, Andrey Rublev, Moscow: Iskusstvo, 1972.
- Gabriel Bunge, The Rublev Trinity, transl. Andrew Louth, St. Vladimir's Seminary Press, Crestwood, New York, 2007.
- Sergius Golubtsov, Voplosh’enie bogoslovskih idey v tvorchestve prepodobnogo Andreya Rubleva [The realization of theological ideas in creative works of Andrey Rublev]. Bogoslovskie trudy 22, 20–40, 1981.
- Troitca Andreya Rubleva [The Trinity of Andrey Rublev], Gerold I. Vzdornov (ed.), Moscow: Iskusstvo 1989.
- Viktor N. Lazarev, The Russian Icon: From Its Origins to the Sixteenth Century, Gerold I. Vzdornov (ed.). Collegeville, MN: Liturgical Press, 1997.
- Priscilla Hunt, Andrei Rublev’s Old Testament Trinity Icon in Cultural Context, The Trinity-Sergius Lavr in Russian History and Culture: Readings in Russian Religious Culture, vol. 3, ed. Deacon Vladimir Tsurikov, (Jordanville, NY: Holy Trinity Seminary Press, 2006), 99-122.(See on-line at www.phslavic.com)
- Priscilla Hunt, Andrei Rublev’s Old Testament Trinity Icon: Problems of Meaning, Intertextuality, and Transmission, Symposion: A Journal of Russian (Religious) Thought, ed. Roy Robson, 7-12 (2002–2007), 15-46 (See on-line at www.phslavic.com)
- Konrad Onasch, Das Problem des Lichtes in der Ikonomalerei Andrej Rublevs. Zur 600–Jahrfeier des grossen russischen Malers, vol. 28. Berlin: Berliner byzantinische Arbeiten, 1962.
- Konrad Onasch, Das Gedankenmodell des byzantisch–slawischen Kirchenbaus. In Tausend Jahre Christentum in Russland, Karl Christian Felmy et al. (eds.), 539–543. Go¨ ttingen: Vandenhoeck und Ruprecht, 1988.
- Eugeny N. Trubetskoi, Russkaya ikonopis'. Umozrenie w kraskah. Wopros o smysle vizni w drewnerusskoj religioznoj viwopisi [Russian icon painting. Colourful contemplation. Question of the meaning of life in early Russian religious painting], Moscow: Beliy Gorod, 2003 [1916].
- Georgij Yu. Somov, Semiotic systemity of visual artworks: Case study of The Holy Trinity by Rublev Archived 27 Septemba 2011 at the Wayback Machine., Semiotica 166 (1/4), 1-79, 2007.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Andrey Rublev Official Web Site
- Rublev at the Russian Art Gallery
- Selected works by Andrei Rublev: icons, frescoes and miniatures
- "The Deesis painted by Andrey Rublev" from the Annunciation Church of the Moscow Kremlin - article by Dr. Oleg G. Uliyanov
- Historical documentation on Andrei Rublev Archived 23 Machi 2009 at the Wayback Machine., compiled by Robert Bird
- The Andrei Rublev Museum of Ancient Russian Art Archived 23 Agosti 2018 at the Wayback Machine. – Guide to visiting the museum
- Venerable Andrew Rublev the Iconographer Orthodox icon and synaxarion
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |