Slovakia
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: -- | |||||
Wimbo wa taifa: Nad Tatrou sa blýska ("Radi juu ya milima ya Tatra") | |||||
Mji mkuu | Bratislava | ||||
Mji mkubwa nchini | Bratislava | ||||
Lugha rasmi | Kislovakia | ||||
Serikali | Democrasia Peter Pellegrini Robert Fico | ||||
Uhuru kutoka Chekoslovakia |
tarehe 1 Januari 1993 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
49,037 km² (ya 130) -- | ||||
Idadi ya watu - 2023 kadirio - 2022 sensa - Msongamano wa watu |
5,424,687 (ya 119) 5,460,185 111/km² (ya 104) | ||||
Fedha | EURO (€ )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) | ||||
Intaneti TLD | .sk2 | ||||
Kodi ya simu | +4213
- |
Slovakia (kwa Kislovakia: Slovensko) ni nchi ya Ulaya ya Kati yenye wakazi milioni tano na nusu.
Imepakana na Ucheki, Austria, Poland, Ukraine na Hungaria.
Slovakia imekuwa nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya tangu tarehe 1 Mei 2004.
Mji mkubwa na mji mkuu ni Bratislava.
Miji muhimu baada ya Bratislava ni Košice, Banská Bystrica, Žilina, Trenčín, Nitra, Prešov na Trnava.
Wakazi walio wengi wanasema Kislovakia, ambacho ni kati ya lugha za Kislavoni, lakini kieneo kuna pia wasemaji wa Kihungaria, Kibelarus na Kiukraine.
Upande wa dini, 65.8% ni Wakatoliki, 8.9% Waprotestanti. 13.4% wanajitambulisha kama Wakanamungu.
Historia
Kwa sehemu kubwa ya historia yake hadi mwaka 1918 Slovakia ilikuwa chini ya watawala wa Habsburg waliokuwa wafalme na makaisari wa Austria.
Baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia Slovakia ilipata uhuru pamoja na Ucheki katika nchi ya Chekoslovakia.
Mwaka 1993 Ucheki na Slovakia ziliachana kwa amani na kuwa kila moja nchi ya pekee.
Viungo vya nje
Nchi za Umoja wa Ulaya | |
---|---|
Austria | Bulgaria | Eire | Estonia | Hispania | Hungaria | Italia | Kroatia | Kupro | Latvia | Lituanya | Luxemburg | Malta | Polandi | Slovakia | Slovenia | Romania | Ubelgiji | Ucheki | Udeni | Ufaransa | Ufini | Ugiriki | Uholanzi | Ujerumani | Ureno | Uswidi |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Slovakia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |