PH (maana)
Mandhari
Tafadhali saidia kuboresha makala hii kwa kuipanua. Ili kupata sababu angalia ukurasa wa majadiliano. Makala hii imetiwa alama tangu tarehe Septemba 2010 |
PH au ph ni kifupi cha:
Kodi
- Kodi ya IATA ya Polynesian Airlines, Samoa
- Kodi ya ICAO ya Hawaii
- Kodi ya ISO 3166-1 ya nchi ya Philippines
Sayansi na teknolojia
*pH (ing. potential of hydrogen) - kipimo cha asidi